Mashallah bi Rahma kapendezajeee
Bi harusi ngari'ngari
Sheikh akimuyonyesha Aunty mahali pakuweka saini
Habari ndio hiyooooo
Haya habari ndo hiyo mliosema haolewi yako wapi? Bibie huyo mkwe wa Demonte.
Aunty na mashosti zake
Mrs. Demonte na washoti zake
Hongera zake sana.
Post a Comment