Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na
katibu mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akiongozana na viongozi wa CUF na
Serikali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Kilimanjaro mjini Arusha.
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad na
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad
akizungumza na wanachama na wapenzi wa Chama hicho kwenye mkutano wa hadhara
uliofanyika viwanja vya Levolosi jijini Arusha.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif
Sharif Hamad na Katibu
Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na wanachama
na wapenzi wa Chama hicho kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya
Levolosi jijini Arusha.
Mwenyekiti wa CUF Taifa Prof. Ibrahim
Lipumba akimkabidhi kadi ya Chama hicho aliyekuwa Diwani wa CHADEMA kata ya
Ererai mjini Arusha John Bayo, baada ya kuamua kukihama chama
hicho.
Aliyekuwa Diwani wa CHADEMA kata ya Ererai
mjini Arusha John Bayo (kushoto), akitangaza kujiengua katika chama chake na
kujiunga na CUF kwenye mkutano wa hadhara uliodhuriwa na viongozi wa wakuu wa
CUF Mkoani Arusha.
Mwenyekiti wa CUF Taifa Prof. Ibrahim Lipumba
akikabidhi kadi za Chama hicho kwa wanachama wapya walioamua kujiunga na chama
hicho Mkoani Arusha.
Wafuasi na wapenzi wa CUF Mkoa wa Arusha
wakimshangilia Maalim Seif wakati akiwahutubia katika viwanja vya Levolosi
jijini Arusha.Picha na Salmin Said-Ofisi ya Makamu wa kwanza wa
Rais Zanzibar


Post a Comment