Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitia saini katika
kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa
wa Mwanza, Liberatus Barlow, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Ukonga
jijini Dar es Salaam, leo kushiriki katika shughu za msiba huo na kutoa heshima
za mwisho wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa marehemu huyo
aliyeuawa hivi karibuni jijini Mwanza.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimfariji mke wa
aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow, wakati alipofika
nyumbani kwa marehemu Ukonga jijini Dar es Salaam, leo kushiriki katika shughu
za msiba huo na kutoa heshima za mwisho wakati wa shughuli ya
kuaga mwili wa marehemu huyo aliyeuawa hivi karibuni jijini
Mwanza.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwafariji
ndugu wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, marehemu,
Liberatus Barlow, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Ukonga
jijini Dar es Salaam, leo kushiriki katika shughu za msiba huo na kutoa heshima
za mwisho wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa marehemu huyo
aliyeuawa hivi karibuni jijini Mwanza.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za
mwisho na kuaga mwili wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, marehemu,
Liberatus Barlow, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Ukonga
jijini Dar es Salaam, leo kushiriki katika shughu za msiba huo na kutoa heshima
za mwisho wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa marehemu huyo
aliyeuawa hivi karibuni jijini Mwanza.
Makamu, Dkt. Bilal
(kushoto) Said Mwema na Kamanda Mstaafu, Mahita, wakiwa katika msiba
huo.
Post a Comment