
Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mwenyekiti anayemaliza
muda wake wa UVCCM Bw. Benno Malisa alipowasili ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini
Dodoma kufungua Mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya hiyo ya vijana wa chama tawala
leo Oktoba 23, 2012

Nderemo baada ya
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuwasili
ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufungua Mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya
hiyo ya vijana wa chama tawala leo Oktoba 23,
2012.

Mwenyekiti anayemaliza
muda wake wa UVCCM Bw. Benno Malisa akihutubia katika ukumbi wa Chuo cha
Mipango mjini Dodoma kabla ya kufungua Mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya hiyo ya
vijana wa chama tawala leo Oktoba 23, 2012


Meza kuu na sehemu za
wajumbe katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma wakati wa ufunguzi wa
Mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya hiyo ya vijana wa chama tawala leo Oktoba 23,
2012



Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano
huo

Bendi ya muziki ya
Vijana Jazz Orchestra 'Wana Pambamoto' ikitumbuiza kwa wimbo maalumu
katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma ikiwa ni shamra ya kufungua
Mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya hiyo ya vijana wa chama tawala leo Oktoba 23,
2012

Wanachama wa umoja wa
vijana kutoka nchi rafiki mbalimbali wakiwa kwenye mkutano
huo.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi toka kwa Mwenyekiti anayemaliza muda wake wa UVCCM Bw. Benno Malisa katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kabla ya kufungua Mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya hiyo ya vijana wa chama tawala leo Oktoba 23, 2012


Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagwa na wajumbe baada ya kufungua
mkutano huo

Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na viongozi wa Chipukizi wa
UVCCM

Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na viongozi wa UVCCM pamoja
na ujumbe wa viongozi wa jumuiya za vijana toka nchi mbalimbali marafiki.Picha
na IKULU


Post a Comment