Watoto
wakitanzania ambao wazazi wao wanaishi na kufanya kazi katika ubalozi
wa Tanzania nchini Oman wakimkaribisha kwa maua Rais Dkt.Jakaya Kikwete
muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Muscat jana jioni.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Sultani wa Oman Qaboos
bin Said Al Said katika kasri ya Sultani jijini Muscat jana jioni(picha
na Freddy Maro)
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi mwenyeji wake Sultani wa Oman
Qaboos bin Said Al Said katika kasri ya AL Alam jijini Muscat Oman jana
jioni muda mfupi kabla ya dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa kwa heshima
yake.
Sultani
wa Oman,Qaboos bin Said Al Said akimtunuku Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete nishani ya juu ya heshima, Taifa la Oman wakati wa dhifa ya
kitaifa iliyoandaliwa kwa heshima ya Rais Kikwete na ujumbe wake jana
jioni katika kasri ya AL Alam jijini Muscat Oman.
Sultan
Qaboos bin Said Al Said akimpongeza Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
baada ya kumtunuku nishani ya juu ya heshima ya Taifa la Oman jana jioni
katika kasri ya AL Alam. Jijini Muscat Oman jana jioni .Rais Kikwete
aliwasili nchini Oman jana jioni kwa ziara rasmi ya siku tatu(picha na
Freddy Maro)
Post a Comment