Mbunge
wa Jimbo la Kigamboni Dk Faustine Ndugulile akisalimiana na Makamu Askofu Mkuu
wa kanisa la Tanzania Assemblies Of Gog Askofu Magnus Muiche wakati
alipokwenda kutembelea pamoja na kutoa pole kwa Makanisa yaliyoharibiwa na
Mgogoro wa Kidini ambapo Mbunge alibaini Makanisa kumi yaliyoharibiwa na Sakata
hilo ambapo aliweza kutembelea makanisa yote kumi.
Kinanda cha Kanisa la KKKT kilichoharibiwa na wahalifu hao
Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili Kilutheri
Tanzania KKKT Dayosis ya Mashariki na Pwani Mtaa wa Mbagala Mch, Frank Kimambo
akimwenyesha Mh Mbunge baadhi ya Sehemu iliyoharibiwa katika Kanisa hilo ambapo
alisema kuwa Ofisi yake ilichomewa kila kiti na hawakuweza kuokoa kitu chochote,
na kuongeza kuwa sehemu nyingine iliyoharibiwa ni
Madhabau.
Mh
Mbunge (kulia) akiangalia gari liliochomwa katika hekaheka hizo.Picha na Habari
na Mbunge wa Jimbo la Kigamboni Dk Faustine Ndugulile
Post a Comment