Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akisalimiana na baadhi ya viongozi wa dini ya kiislam wa Wilaya wa
Mwanga mkoani Kilimanjaro,wakati alipokuwa akiwasili kwenye hafla ya
harambee ya kuchangisha fedha za ujenzi wa shule ya sekondari ya kiislam
ya Lambo huko Mwanga mkoani Kilimanjaro iliyofanyika mwishoni mwa
wiki.Kushoto ni Waziri wa Maji,Prof. Jumanne Maghembe.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akizungumza waumizi wa dini ya kiislam waliohudhulia hafla ya harambee
ya kuchangisha fedha za ujenzi wa shule ya sekondari ya kiislam ya Lambo
huko Mwanga mkoani Kilimanjaro,iliyofanyika
mwishoni mwa wiki.Mh Lowassa alichangia shillingi millioni 10 na kusema
Bakwata wilayani Mwanga ni mfano wa kuigwa kwa kuwekeza katika elimu.Kulia ni Waziri wa Maji,Prof. Jumanne Maghembe.
mwishoni mwa wiki.Mh Lowassa alichangia shillingi millioni 10 na kusema
Bakwata wilayani Mwanga ni mfano wa kuigwa kwa kuwekeza katika elimu.Kulia ni Waziri wa Maji,Prof. Jumanne Maghembe.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiendelea kuchangisha kwenye harambee hiyo.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akipongezwa na baadhi ya Masheikh wa Wilaya ya Mwanga,Mkoani Kilimanjaro
mara baada ya kuongoza harambee hiyo ya kuchangisha fedha za ujenzi wa
shule ya sekondari ya kiislam ya Lambo huko Mwanga mkoani Kilimanjaro.
Post a Comment