Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

HAFLA YA MKUTANO MKUU WA PPF YA CRDB BANK


Mkurugenzi wa Masoko na Utafika wa benki ya CRDB, Tully Mwambapa akizungumza katika tafrija iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa PPF jijini Arusha hivi karibuni.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio (wa kwanza kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa Benki ya CRDB wakati wa hafla ya Mkutano Mkuu wa PPF uliomalizika jijini Arusha na kudhaminiwa na benki hiyo. Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Masoko na Utafika wa benki ya CRDB, Tully Mwambapa, Mkurugenzi wa tawi la Arusha, Chiku Issa, Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Saugata Bandyopandyay na Mwenyekiti wa Bodi ya benki ya CRDB, Martin Mmari.
 
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio akiwaongoza wageni mbalimbali kupata chakula wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyofanyika jijini Arusha kwa ajili ya wajumbe wa mkutano Mkuu wa PPF ambapo benki ya CRDB ilidhamini tafrija hiyo.
Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Masoko na Utafika wa benki ya CRDB, Tully Mwambapa, Mkurugenzi wa tawi la Arusha, Chiku Issa wakicheza Rhumba wakati wa hafla ya chakula cha jioni kwa wajumbe wa mkutano Mkuu wa PPF. CRDB ilidhamini hafla hiyo iliyofanyika jijini Arusha.
Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Saugata Bandyopandyay (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Masoko na Utafika wa benki ya CRDB, Tully Mwambapa (kushoto) na Mkurugenzi wa tawi la Arusha, Chiku Issa wakati wa hafla hiyo.

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top