Loading...
JOB NDUGAI AENDA KUHUDHULIA MKUTANO WA SADC JIJINI LILONGWE, MALAWI
Mhe.Naibu Spika Job Ndugai akiwa na Balozi wa
Tanzania nchini Malawi,Patrick Tsere (kushoto) mara baada ya kuwasili jijini
Lilongwe.Naibu Spika Ndugai amewasili nchini Malawi kuhudhuria mkutano wa 32 wa
Mabunge ya Nchi Wanachama wa SADC PF.Mkutano huo unatarajiwa kuandaa msingi wa
uanzishwaji wa Bunge la SADC.Zaidi ya Wabunge 100 toka nchi 13 za SADC
wanahudhuria
Post a Comment