Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MHE. HAMAD RASHID MOHAMED AONJA JOTO YA JIWE LA BALAA LA MAFUTA


Foleni ya Mafuta Iringa leo kati ya vituo zaidi ya 7 ni vituo viwili pekee vilikuwa vikiuza mafuta

Mmiliki wa mtandao  wa mzee wa matukio daima (kushoto) akimhoji mbunge wa jimbo la Wawi Zanzibar Hamad Rashid Mohamed baada ya kukwama kwa masaa zaidi ya manne katika foleni ya mafuta eneo la Ipogolo mjini Iringa leo

Mbunge wa jimbo la Wawi Zanzibar (katikati) akitazama picha katika Ipad yake alizopiga foleni hiyo ya mafuta mjini Iringa leo

Mbunge wa jimbo la Wawi Zanzibar Hamad Rashid Mohamed akisubiri katika foleni ya Mafuta leo eneo la Ipogolo mjini Iringa

chanzo: Mzee wa Matukio
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top