Mjumbe wa Bodi ya Wadhani wa PPF,Dk. Aggrey Mlimuka (akikaimu nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi) akiongoza Mkutano wa 22 wa Mwaka wa Wanachana na Wadau PPF unaoendelea kufanyika leo kwa ikiwa ni siku ya tatu kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha.
Mkurugenzi Mkuu wa PPF,William Erio akizungumza leo kwenye Mkutano wa 22 wa Mwaka wa Wanachana na Wadau wa PPF,unaoendelea kufanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha leo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii Tanzania (SSRA),Bw. Siraju Juma Kaboyonga akifafanua jambo wakati akichangia mada katika Mkutano wa 22 wa Mwaka wa Wanachana na Wadau wa PPF,unaoendelea kufanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha leo.
Mwenyekiti wa Kikao kilichokuwa na Mada ya Ufahamu wa Ugonjwa wa Kansa iliyotolewa kwenye Mkutano wa 22 wa Mwaka wa Wanachana na Wadau wa PPF,Dk. Ramadhan Dau (pili kulia) na ujumbe wake wote wakisikiliza kwa makini swali lililokuwa likitolewa na mmoja wa wadau wa PPF kwenye Mkutano huo unaoendelea kufanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha leo.
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifandi ya Jamii (NSSF),Crescentius Magori (kulia) na Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Taifa la Hifandi ya Jamii (NSSF),Eunice Chiume wakiwa kwenye Mkutano wa 22 wa Mwaka wa Wanachana na Wadau wa PPF,unaoendelea kufanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha leo.
Wadada warembo wa PPF wakiwa kwenye Picha ya Pamoja.
Post a Comment