Exclusive na millardayo.com Ney amesema “tattoo yangu ya kwanza niliichora nikiwa darasa la saba so napenda tattoo, mi napenda maisha flani hivi ya kihustler unajua… huyu jamaa kifuani nimemchora ni wale mamafia, masniper nawapenda na hakuna maana nyingine zaidi ya hiyo”
Kuhusu huu mchoro mgongoni mwake, Ney amesema “mi napenda mafuvu sana hata ukiingia ndani kwangu kuna picha nimebandika za mafuvu ukutani sielewi kwa nini huwa nazipenda”
Post a Comment