Mshindi namba mbili wa shindano
la Big Brother Africa 2012 Cmb Prezzo kutoka Kenya tayari yuko Marekani
alikokwenda kuhudhuria show ya Jay Z pamoja na kufanya ishu nyingine
kutokana na dili lake la kuwa balozi wa One Campaign alilopewa BBA.
Prezzo amesema alikwenda U.S toka alhamisi iliyopita na atarudi home jumapili ijayo Mungu akijalia.
Namkariri akisema “nimetua JFK New York baada ya kuingia New York nikaenda kwenye consert ya Jay Z ambayo ilikua balaa tupu, kama balozi wa One Campaign nimekua na vibali vyote so mchizi yani sasa hivi ni kama mshkaji jinsi tunavyoongea mimi na wewe, ni bonge la mtu yani mi mwenyewe sikutegemea… tulionana na tukabaki wawili na kufanya mazungumzo kwa zaidi ya dakika 15″
Prezzo amesema “jamaa alikua anajua mimi ni mwanamuziki kutoka East Africa, anaelewa kuhusu One Campaign na ushiriki wangu kwenye Big Brother, kwa sababu alikua busy na show sasa ndio nataka nirudi New York kutoka hapa Washington DC ambapo ile ishu ya kolabo ndio nitaifahamu nikirudi New York na itategemeana na ratiba ya J mwenyewe, watu wangu tu waniombee kila la kheri…. Jay Z yuko poa hana dharau wala kiburi”

Post a Comment