Waziri wa Ujenzi Dkt. John
Magufuli (waliokaa mbele wapili kushoto) akiongea na waandishi wa habari leo
jijini Dar es Salaam kusisitiza utaratibu wa usajili
wa magari ya Umma
unafuatwa na kutafanyika zoezi rasmi la kurejesha usajili wa magari
yote.Serikali imetoa muda hadi kufikia Novemba 15,2012 magari ya Umma yaliyo na
namba za kiraia, yarejeshwe namba stahiki za magari ya Umma . Baada ya hapo
Operesheni hiyo iitakamata magari, pikipiki, bajaj na mitambo ya umma,Vilevle
kutakuwa na aina ya namba za usajili zitakazotumika kama ST, PT, MT,JW, DFP, CW,
SM na ,SU.Hadi sasa serikali imesajili vyombo vya moto,123,431 yakiwemo
magari,,pikipiki,bajaj na mitambo ya umma (pichani anaefuatia mwenye sare
za polisi) ni Mkuu wa kikosi cha Usalama barabarani katika jeshi la Polisi
nchini Kamanda Mohamed Mpinga
Waziri wa Ujenzi Dkt. John
Magufuli (kulia) akisisitiza jambo leo jijini Dar es Salaam wakati akiongea na
waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu utaratibu wa kufuta matumizi ya
namba za kiraia kwenye magari ya Serikali, taasisi na mashirika ya Umma nchini,
Pichani (kushoto) ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Balizi Herbert Mrango. Serikali
pia imeotoa muda hadi tarehe 15, Nov, 2012 ili magari ya umma yaliyo na namba
za kiraia yarejeshwe kwenye namba stahiki za magari ya Umma kabla ya oparesheni
ya kamatakamata kuanz, Kulia ni Mohamed Mpinga Kamanda wa Kikosi cha Usalama
Barabarani
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli (kulia)
akiteta jambo leo jijini Dar es Salaam Mohamed Mpinga Kamanda wa Kikosi cha
Usalama Barabarani wakati akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani)
kuhusu utaratibu wa kufuta matumizi ya namba za kiraia kwenye magari ya
Serikali, taasisi na mashirika ya Umma nchini, Pichani (kushoto) ni Katibu Mkuu
wa Wizara hiyo Balizi Herbert Mrango. Serikali pia imeotoa muda hadi tarehe 15,
Nov, 2012 ili magari ya umma yaliyo na namba za kiraia yarejeshwe kwenye
namba stahiki za magari ya Umma kabla ya oparesheni ya kamatakamata kuanza.
Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO)
Post a Comment