Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza
na wananchi waKijiji cha Chwaka kuhusu
mzozo wa Uvuvi kwa wananchi hao na ndugu zao wa Kijiji cha Marumbi,katika uwanja wa Skuli ya
Kijijini hapo jana,pia aliwaomba kuwa
kitu kimoja kuondosha tofauti zao.
Baadhi ya Wananchi wa Kijiji cha Chwaka
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali MohamedShein, (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza na
wananchi haoalipofanya ziara
maalum,kuhusu mzozo wao wa Uvuvi na wananchi wa Kijiji cha Marumbi Mkoa wa Kusini
Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
akiwapungia mkono wananchi wa Kijiji cha
Chwaka kama ishara ya kuwaaga,baada ya mazungumzo, hayo. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Post a Comment