Barabara ya kuingia katika Ofisi
za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi zikiwa zimefungwa na Askari Polisi kufuatia
vurugu zilizotokea leo
Polisi wakifanya doria kwa kutumia
pikipiki
Askari wa doria ya
pikipiki wakikatiza katika mitaa ya Posta
Mpya....
Mitaa ya Kariakoo na viunga vyake
ikiwa imeimarishwa na Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika
mitaa ya Kariakoo leo
Ulinzi uliimarishwa na Askari wa
Jeshi la Wananchi wa Tanzania katika mitaa ya Kariakoo
leo
Wanajeshi wakivinjari katika
mitaa ya Kariakoo leo
Askari wa jiji wakishiriki
kikamilifu katika zoezi la kuwakamata watu waliokuwa wamekusanyika kwa nia ya
kutaka kuandamana katika eneo la Kariakoo
Magari ya Jeshi la Wananchi wa
Tanzania wakiwa katika doria katika barabara ya Msimbazi ambako kulitokea vurugu
zilizosababishwa na waislamu waliotaka
kuandamana.
Twende
garini.....
Akaaaa sio mimi
jamaniiiiiii, Babu (kulia} akijitetea...
Askari wakimdhibiti
babu...
Babu akishuhshwa garini
kuingizwa kituoni.....
Mgambo wa kike
akipambana na kijana kumburuta kumpeleka garini, baadaye mgambo huyu
CHALIII
Mgambo chaliii,lakini
wapi anaye tuuuu....
Watuhumiwa wakipandishwa
garini....
Watuhumiwa
wakipandishwa garini....
Watuhumiwa
wakipandishwa garini....
Jamaa akijaribu kueskep
ambapo alikula bonge la mtama na kutambaa kama hivi na kudakwa na mgambo wa
kike....
Maeneo ya Posta nako
hali haikuwa shwali sana, ulinzi
uliimalishwa kama hivi...
Babu panda gari
haraka......
Kijana twende
ohooooo.....
Muumini wa dini ya Kiislamu akishahadia kwa mola wake na kusema nipo tayari kufa kwa ajili ya kutetea dini ya Allah baada kukamatwa na Askari wa Kikosi cha Kutulia Ghasia katika viunga vya eneo la Ikulu.
Safari ya kuelekea Kituo Kikuu ilianza
Picha zote na Happiness Mnale
Watu hao
walifika mmoja mmoja maeneo ya Ikulu kabla ya kudhibitiwa na Askari wa Kikosi
cha Kutuliza Ghasia (FFU) na kupelekwa Kituo Kikuu cha Kati. Kukamatwa kwa watu hao kunafuatia Jeshi la
Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kuwatawanya waumini wa dini ya Kiislamu
ambao walikuwa na nia ya kufanya maandamano.
Halikadhalika, WATU sita waliokuwa na nia
ya kuandamana kuelekea Ikulu
wamekamatwa na Jeshi la Polisi.
kwa mujibu wa waandishi wa habari waliopiga kambi katika viunga vya Ikulu watu hao walifika mmoja mmoja kabla ya kudhibitiwa na Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) na kupelekwa Kituo Kikuu cha Kati. Kukamatwa kwa watu hao kunafuatia Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kuwatawanya waumini wa dini ya Kiislamu ambao walikuwa na nia ya kufanya maandamano.

Waandishi
wameshuhudia gari mbili za jeshi la Polisi zikiwa zimebeba wanajeshi waliokuwa
na silaha
Waandishi wameshuhudia gari mbili za jeshi la Polisi zikiwa zimebeba wanajeshi waliokuwa na silaha. Katika maeneo ya Kariakoo vikosi vya Jeshi la wananchi wa Tanzania vimekuwa vikifanya doria ili kuimarisha hali ya ulinzi.Picha kwa

hisani ya
Michuzi Blog
Post a Comment