Bwana
Gordon Igesund kocha wa Bafana Bafana akimwaga machozi
Marehemu Thomas madigage alikuwa kocha
msaidizi wa Bafana Bafana timu ya taifa South Africa, Madigage amefarikiki kwa
ajali ya gari akiwa na umri wa miaka 41 na kuzikwa Limpopo, South africa.
on Wednesday, October 31, 2012
Post a Comment