Kamishna wa Polisi Mussa Ali
Mussa akifafanua jambo katika Mkutano na Waandishi wa Habari akielezea juu ya
Fujo na Ghasia zilizotokea katika Mkoa wa Mjini Magharibi na kupelekea kifo cha
Askari Mmoja,Mkutano huo umefanyika katika Makao Makuu ya Polisi Ziwani Mjini
Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa Habari
wakiwa katika Mkutano wa Jeshi la Polisi kuelezea juu ya Fujo na Ghasia
zilizotokea katika Mkoa wa Mjini Magharibi na kupelekea kifo cha Askari
Mmoja,Mkutano huo umefanyika katika Makao Makuu ya Polisi Ziwani Mjini
Zanzibar.
PICHA NA MAKAME MSHENGA-MAELEZO ZANZIBAR
Post a Comment