Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akimuapisha Dk.Juma Malik Akili, kuwa Katibu Mkuu Wizara
ya Miundombinu na Mawasiliano,katika hafla iliyofanyika Ikulu
Mjini Zanzibar leo
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akimuapisha Nd,Ali Khalil Mirza, kuwa Katibu Mkuu Wizara
ya Ardhi,Makaazi,Maji na Nishati,katika hafla iliyofanyika
Ikulu Mjini Zanzibar leo
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akimuapisha Nd,Mussa Haji Ali, kuwa Mkurugenzi Mkuu wa
Taasisi ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu wa Uchumi,katika hafla
iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar,leo
on Wednesday, October 24, 2012
Post a Comment