Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WAKAZI WA ARUMERU WABOMOLEWA MAKAZI YAO

 
Mkazi wa kijiji cha Sing”isi Seela,Rehema Mohamed akiwaonyesha waandishi wa habari nyumba yake iliyobomolewa na wawekezaji wa kigeni wanaomiliki shamba la Mito miwili farm wilayani Arumeru mkoani Arusha hivi karibuni ili wapishe eneo hilo.
 
Mkazi wa kijiji cha Sing”isi Seela,Aziza Idd akiwaonyesha waandishi wa habari nyumba yake iliyobomolewa na na wawekezaji wa kigeni wanaomiliki shamba la Mito miwili Farm lililopo mkabala na makazi yao ili wawapishe wawekezaji hao juzi(Picha na Moses Mashalla)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top