Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia
wafanyabiashara wa Oman na Tanzania wakati wa mkutano malum wa uwekezaji
aliouandaa kwaajili ya kuelezea fursa za uwekezaji nchini.Mkutano huo wa
uwekezaji ulofanyika jijini Muscat Oman ulihudhuriwa pia na Waziri wa Mambo ya
nje Bernard Membe,Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt.Abdallah Kigoda ,Wziri wa
Kazi,Ushirika na Uwezeshaji kiuchumi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Haroun Ali Suleiman pamoja na Naibu Waziri wa Fedha Janet
Mbene.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho kikwete akiwa katika picha ya
pamoja na mawaziri na maofika wangazi za juu wa Oman na Tanzania waliohudhuria
mkutano maalum wa uwekezaji uliofanyika katika Hoteli ya Al Bustan jijini Muscat
Oman leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi
ya Wafanyabishara wa Oman na Tanzania waliohudhuria mkutano maalum wa uwekezaji
Tanzania ulifanyika jijini Muscat Oman leo .Mkutano huo wa uwekezaji ulofanyika
jijini Muscat Oman ulihudhuriwa pia na Waziri wa Mambo ya nje Bernard
Membe,Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt.Abdallah Kigoda ,Wziri wa Kazi,Ushirika
na Uwezeshaji kiuchumi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Haroun Ali Suleiman
pamoja na Naibu Waziri wa Fedha Janet Mbene.Pamoja na viongozi waandamizi wa
serikali zote mbili. Picha na Freddy Maro
Post a Comment