Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria
Tanzania Bi. Winfrida Korosso akizungumza wakati wa ufunguzi wa baraza la
wafanyakazi wa Tume.
Naibu
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju akifungua kikao cha Baraza la
wafanyakazi wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania, wa pili kushoto ni
mwenyekiti wa Tume Jaji prof. Ibrahim Juma na kulia ni katibu Mtendaji wa Tume
Bi. Winfrida Korosso
Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe
wa Baraza la Wafanyakazi wa Tume
Naibu
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju akiwa katika picha ya pamoja na
Makamishna wa Tume wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Tume Jaji Prof Ibrahim Juma na
wa pili kushoto ni Katibu mtendaji wa Tume Bi. Winfrida Korosso. wa kwanza
kushoto ni Mwenyekiti wa Baraza la wafanyakazi Bw. Fred Kandong
Post a Comment