Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Makamu
wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal leo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere mara alipowasili kutoka katika ziara rasmi ya siku nne nchini
Oman.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na
baadhi ya wananchi waliojitokeza kumpokea leo katika uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere mara alipowasili kutoka katika ziara rasmi ya siku
nne nchini Oman.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es salaam Suleiman Kova leo katika
uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara alipowasili kutoka katika
ziara rasmi ya siku nne nchini Oman.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu
wa Wilaya ya Kinondoni Mhe Jordan Rugimbana leo katika uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere mara alipowasili kutoka katika ziara rasmi ya siku
nne nchini.PICHA NA IKULU
Post a Comment