VIONGOZI MBALIMBALI WAKIJADILI JAMBO AKIWEMO RAIS WA NCHINI BARAKI OBAMA.
MAJI YAKIWA YAMEZINGIARA MOJA YA KIWANDA NCHINI
MAREKANI.
MMOJA WA ASKARI AKIANGALIA MAWIMBI YA MAJI
YAKIPIGA PWANI YA MOJA ILIKUMBWA NA KIMBUNGA HICHO CHA SANDY.
Kimbunga Sandy ni kimbunga
ambacho Marekani haijawahi kukishuhudia kwa miaka tisa iliyopita ambapo kwa
mujibu wa Sky News ni watu 16 wamepoteza maisha mpaka sasa na nyumba zaidi ya 50
zimewaka moto huku mamilioni ya wananchi wakikaa bila umeme majumbani
mwao.
Kutokana na hiki kimbunga
pia safari za ndege zaidi ya eflu zimeahirishwa ambapo kwa upande mwingine
nyumba laki sita na elfu sabini kwenye jiji la New York zimeachwa bila
umeme.
Post a Comment