Meneja
wa Benki ya NMB Kanda ya Kaskazini Bi. Vicky Bishubo (kushoto) akimkabidhi mfano
wa Hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10 Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha
Nelson Mandela Profesa Burton Mwamila kilichopo mkoani Arusha ukiwa ni mchango
wa kufanikisha sherehe za ufunguzi wa Chuo hicho.
Meneja
wa NMB Kanda ya Kaskazini Bi. Vicky Bishubo (wa pili kushoto) akimkabidhi mfano
wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10 Makamu Mkuu wa Chuo cha Nelson
Mandela Profesa Burton Mwamila ili kufanikisha sherehe za ufunguzi wa Chuo hicho
kilichopo mkoani Arusha. Akiangalia ni Meneja wa Benki ya NMB tawi la Clock
Tower Bw. Ernest Olomi.
Post a Comment