Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto
Mhe. Sophia Simba akipokea shada la maua kutoka kwa Mkurugenzi Msaidizi Bi.
Judith Kizenga mara baada ya kupokelewa Wizarani hapo baada ya ushindi wake wa
Uenyekiti wa UWT Taifa
Mhe.Waziri Sohia Simba akisalimiana na
Watumishi wa Wizara
Mhe.Sophia Simba,Waziri wa Maendeleo ya
Jamii,Jinsia na Watoto akiwasikiliza kwa makini Watendaji wakuu wa wizara mara
baada ya mapokezi
Mhe.Sophia Simba Waziri wa Maendeleo ya
Jamii,Jinsia na Watoto ambaye pia ni Mwenyekiti wa UWT Taifa akiwashukuru
Watendaji wa Wizara kwa mapokezi mazuri Wizaran
hapo
Watumishi wa Wizara ya Maendeleo ya
Jamii,Jinsia na Watoto wakisubiri kumpokea Mhe.Sophia Simba baada ya kushinda
nafasi ya Mwenyekiti wa UWT Taifa
Post a Comment