Mkurugenzi Idara ya Tathmini
ya Athari kwa Mazingira ya Baraza la
Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Ignace Mchallo (kushoto)
akimpongeza Leonard Gastory Lugali, akiyeibuka mshindi wa kwanza wa
shindano kuhusu mazingira lililopewa jina la‘Quarry Life Award’
lililokuwa likiendeshwa na Kampuni ya Saruji yaTanzania Portland
Cement (Twiga) na kupewa zawadi ya EURO 5000 katika hafla iliyofanyika
kiwandani hapo, Dar es Salaam leo. Mshindi wa pili alipewa EURO 5000
na wa tatu aliondoka na 1500. Wengine pichani washindi, majaji wa
shindano na maofisa wa TPCC.

akikabidhi mfano wa hundi ya Euro 3000 kwa David Dawson Maleko,
akiyeibuka mshindi wa pili wa shindano kuhusu mazingira lililopewa jina la
‘Quarry Life Award’ lililokuwa likiendeshwa na Kampuni ya Saruji ya
Tanzania Portland Cement (Twiga) katika hafla iliyofanyika kiwandani
hapo, Dar es Salaam leo. Wa pili kushoto ni Mkurugenzi wa
Utawala na Fedha wa TPCC, Ignatius Asare, , Ofisa Mazingira, David
Mwakalobo, Meneja Mazingira wa Twiga, Juliet Mboneko Tibaijuka na
Meneja Mazingira kutoka HeidelbergCement, Dk Michael Rademacher.

Post a Comment