Kamanda Kova amesema kwamba Vurugu zilianza Juzi ambapo watoto wawili walio kati ya miaka 14 na 12 walikuwa wanabishana kuhusu Kitabu kitakatifu cha Waislam kwamba Ukikojolea unageuka kuwa Panya, Sasa Dogo mmoja akawa haamini, Kitabu kikaletwa hapo na Dogo akakikojolea baada ya hapo hakuna kilicho badilika, na hakugeuka kuwa panya. Kutokana na hiyo ishu kuwa kubwa ikabidi ugomvi wao usuluishwe na wazee ambao walijalibu kuwambia haiwezekani lakini ikashindikana. Baada ya hapo watoto hao wakapelekwa Mbagala Kizuiani ambapo sasa nia na lengo lilikuwa ni kusuluisha, pia ikashindikana, ndio vurugu za chini chini zikaanza pamoja na vikundi kujengwa, wakawa wanadai ni Kashfa Kukojolea Kitabu cha Dini ya Kislam. Wengine wakaanza kusema kuwa wanamka huyo Mtoto ili auawe. Sasa vurugu ndio ikawa kubwa
Hata hivyo Kamanda Kova anasema kuwa Vurugu hizo hazikupangwa na amesisitiza kuwa hao watoto wapo Foolishi Age.
Post a Comment