Afisa Masoko wa Kampuni ya
simu za mkononi tigo, Jacquiline Nmunduma (kushoto) akizungumza na waandishi wa
habari jijini Dar es Salaam asubuhi ya leo kuhusu huduma mpya ya ‘Pre-paid
international Roaming’ inayowawezesha wateja wao wa malipo ya kabla kutumia
namba zao za tigo kwa mawasiliano ndani ya Afrika Mashariki kwa bei nafuu.
Katikati Tuli Mwaikenda Afisa Uhusiano wa kampuni hiyo na Kulia ni Meneja Huduma
na Mawasiliano Nje ya Nchi.
Loading...
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
-
-
-
Alfajiri3 months ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-


Post a Comment