Mkurugenzi Mtendaji wa Muungano wa Mashirika
yasiyo ya Kiserikali Tanzania (TANGO), Ngunga Tepani akiangalia kompyuta, skana,
printa pamoja na king’amuzi cha inteneti vilivyotolewa na TradeMark East Afrika
(TMEA). Kushoto ni Mkurugenzi Mkazi wa TMEA, Paulina Elago. Makabidhiano hayo
yalifanyika jijini Dar es Salaam. (Picha na Habari Mseto Blog)
Mkurugenzi
Mtendaji wa Muungano wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali Tanzania (TANGO), Ngunga
Tepani akizungumza katika hafla hiyo. Kulia ni Mkurugenzi
Mkazi wa TMEA, Paulina Elago. Loading...
Post a Comment