Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WAKULIMA NCHINI WAKUNWA NA KILIMO KWANZA HADI KUMPA RAIS KIKWETE ZAWADI

Mkulima wa mpunga katika kijiji cha Usa River,Mkoani Arusha Bwana Vincent Urassa akimpa zawadi Rais Dkt.Jakaya Kikwete kwa niaba ya wakulima wa Tanzania kwa kutambua mchango wa Rais Kikwete katika kuleta mapinduzi ya kilimo nchini kwa manufaa ya wananchi.Bwana Urassa alikabidhi zawadi hiyo mwishoni mwa mkutano wa African Green  Revolution Forum 2012 uliofanyika katika hoteli ya Ngurdoto Mountain Lodge mjni Arusha(picha na freddy Maro).
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top