Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na
Mratibu wa Maonyesho ya VICOBA Tanzania, Aldo Mfinde wakati alipokuwa akiwasili
kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar tayari kwa Uzinduzi rasmi wa maonyesho
ya VICOBA Tanzania. Wa pili (Kulia) ni Naibu Waziri wa Kazi na Ajira,Mh.
Makongoro Mahanga na Kulia ni Mwenyekiti wa CCM,Wilaya ya Ilala,Mh Assaa
Simba.
Mratibu
wa Maonyesho ya VICOBA Tanzania,Aldo Mfinde akizungumza machache wakati wa hafla
ya Uzinduzi wa Maonyesho ya Miaka Kumi ya Wafanya biashara ndogo ndogo na
Wajasiliamali wa VICOBA uliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar
es Salaam.wa Tatu kulia ni Mgeni Rasmi katika uzinduzi huo,Waziri Mkuu Mstaafu
na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa.Wengine ni Naibu Waziri wa Kazi
na Ajira,Mh. Makongoro Mahanga (pili kulia) na Mwenyekiti wa CCM,Wilaya ya
Ilala,Mh Assaa Simba.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (kulia)
akimpongeza Mratibu wa Maonyesho ya VICOBA Tanzania,Aldo Mfinde mara baada ya
kumaliza kuitambulisha Kamati ya VICOBA Tanzania iliokuwepo viwanjani
hapo.
Burudani
ya Ngoma za Asili.
Mjumbe
wa Kamati ya VICOBA Tanzania,Bi. Magreth Mapunda akisoma Risala ya Chama chao
hicho mbele ya Mgeni Rasmi,Mh. Edward Lowassa wakati wa hafla ya Uzinduzi rasmi
wa Maonyesho ya Miaka Kumi ya Wafanyabiashara ndogo ndogo na Wajasiliamali wa
VICOBA uliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo.
Mjumbe
wa Kamati ya VICOBA Tanzania,Bi. Magreth Mapunda (kushoto) akikabidhi Risala
hiyo kwa Mgeni Rasmi,Mh. Edward Lowassa.
Mwenyekiti
wa CCM,Wilaya ya Ilala,Mh Assaa Simba akisalimia Wanachama wa VICOBA
Tanzania.
Naibu
Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Makongoro Mahanga akizungumza machache kabla ya
kumkaribisha Mgeni Rasmi kuzungumza na Wanachama wa VICOBA.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akitoa hotuba yake
mbele ya wanachama wa VICOBA Tanzania wakati hafla ya Uzinduzi wa Maonyesho ya
Miaka Kumi ya Wafanya biashara ndogo ndogo na Wajasiliamali wa VICOBA
uliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo.Katika
Hobuba yake,Mh. Lowassa aliwapongeza wana VICOBA kwa kuweza kujiajiri,kwani
tatizo la ajira nchini bado ni tatizo kubwa na ni bomu linaweza kulipuka wakati
wowote.Maonyesho hayo yataendelea mpaka jumamosi ijayo Oktoba
27.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (kushoto) akiteta
jambo na Naibu Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Makongoro Mahanga.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akicheza muziki
sambamba na Wanachama wa VICOBA Tanzania wakati wa uzinduzi wa Maonyesho ya
Biashara ya Miaka Kumi yam Wajasilia Mali wa VICOBA tangu kuanzishwa
kwakwe,iliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akibonyeza kitufe
kwenye kompyuta ikiwa ni ishara ya Uzinduzi rasmi wa Maonyesho ya Miaka Kumi ya
Wafanya biashara ndogo ndogo na Wajasiliamali wa VICOBA uliyofanyika kwenye
viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono
Wanachama wa VICOBA wakati wa kuwaaga mara baada ya kufanya uzinduzi wa
Maonyesho ya Miaka Kumi ya Wafanya biashara ndogo ndogo na Wajasiliamali wa
VICOBA uliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiagana na baadhi
ya Wanachama wa VICOBA mara baada ya uzinduzi wa Maonyesho ya Miaka Kumi ya
Wafanya biashara ndogo ndogo na Wajasilia mali wa VICOBA uliyofanyika kwenye
viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiagana na Naibu
Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Makongoro Mahanga.
Wanachama
wa VICOBA wakijiburudisha kwa kucheza Muziki.
Maandamano
ya Wanachama na Wajasiliamali wa VICOBA yakipita Mbele ya Mgeni Rasmi,ambaye ni
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
Post a Comment