Hii ilikua ni kwenye party ya uzinduzi wa
brand new channel ya Chris Brown on Qubeey, a software site kwa ajili ya mashabiki wa Chris ambapo
watu kadhaa walialikwa na kupita kwenye redcarpet lakini Rihanna hakupita
redcarpet alafu baadae akaonekana ndani V.I.P akiwa karibu na CB pamoja na
kukiss pia….. hii imewafanya wengi waamini kwamba wapenzi hawa wa zamani
wamerudiana.
on Tuesday, October 23, 2012
Post a Comment