Dada
wa Mbunge wa jimbo la Monduli na Waziri Mkuu mstaafu Kalaine Lowasa
akiwavisha warembo wanaoshiriki shindano la Redds Miss Tanzania 2011,
mgolole wa kimasai wakati warembo hao walipoandaliwa tafrija maalum ya
kuwakaribisha katika mji wa Monduli.Kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu
Mstaafu na Mbunge w Monduli, Regina Lowasa.Warembo hao wapo Kanda ya
Kaskazini kutembelea vivutio mbalimbali vya Utalii vilivyopo katika
mikoa hiyo

Robert Lowasa nae alivishwa Mgolole kutokana na mchango wake mkubwa alioutoa kufanikisha warembo hao kufika mji i
Warembo wakiwa wamekaa na mavazi yao yimasaai
Baadhi ya wadau waliohudhuria tafrija hiyo
Nao walikuwepo
Viongozi wa kamati ya Miss Tanzania
Picha ya pamoja
Mke
wa Waziri Mkuu Mstaafu, Regina Lowasa akicheza mziki wa Kwaito na
Warembo wanaoshiriki shindano la Redds Miss Tanzania 2012, wakati wa
tafrija maalum ya kuwakaribisha warembo hao katika mji wa Monduli jana
mkoani Arusha. Warembo wa Redds Miss Tanzania wapo Kanda ya Kaskazini
kutembelea vivutio mbalimbali vya Utalii vilivyopo katika mikoa hiyo.
Mke
wa Waziri Mkuu Mstaafu, Regina Lowasa na mtoto wake Robert Lowasa 'Bob"
wakicheza mziki wa Kwaito na Warembo wanaoshiriki shindano la Redds
Miss Tanzania 2012, wakati wa tafrija maalum ya kuwakaribisha warembo
hao katika mji wa Monduli jana mkoani Arusha. Warembo wa Redds Miss
Tanzania wapo Kanda ya Kaskazini kutembelea vivutio mbalimbali vya
Utalii vilivyopo katika mikoa hiyo.
Post a Comment