Warembo
wanaoshiriki shindano la Redds Miss Tanzania 2012 wakiwa katika picha
yao ya pamoja mapema leo Oktoba 4, 2012 katika Kambi yao iliyopo Hoteli
ya Kitalii ya Giraffe Ocean View iliyopo Mbezi Beach nje kidogo ya
jiji la Dar es Salaam. Warembo hao ambao watapanda jukwaani Novemba 3
kuwania taji la Miss Tanzania 2012 wanataraji kufanya ziara ya
kuhamasisha Utalii wa ndani kwa Kutembelea Vivutio kadhaa vya Utalii
katika Mikoa ya Kanda ya Kaskazini ya Moshi, Arusha na Manyara Jumamosi
hii.
Warembo
wakiwa katika pozi mbalimbali. Warembo hao ambao watapanda jukwaani
Novemba 3 kuwania taji la Miss Tanzania 2012 wanataraji kufanya ziara ya
kuhamasisha Utalii wa ndani kwa Kutembelea Vivutio kadhaa vya Utalii
katika Mikoa ya Kanda ya Kaskazini ya Moshi, Arusha na Manyara Jumamosi
hii.

Washiriki
hao wanaendelea vyema na kambi yao ya maandalizi chini ya Mwalimu Irine
Karugama mshiriki wa shindano la Miss Tanzania 2011. Mpenzi wa Sanaa ya
Urembo nchini Tanzania na Duniani Karibu Pia katika Ukurasa wa REDDS
MISS TANZANIA 2012 katika FACEBOOK kwa LIKE yako tu katika Ukurasa huo
BOFYA http://www.facebook.com/ReddsMissTanzania2012
Post a Comment