Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WAZIRI HUVISA AKUTANA NA WAZIRI BARKER WA UINGEREZA



Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira Dk. Terezya Huvisa (kulia) akizungumza na Waziri Gregory Barker kutoka Idara ya Nishati na Mabadiliko ya Tabia nchi ya nchini Uingereza. Dk. Huvisa na Bw. Barker wamejadili jitihada za Serikali ya Tanzania katika kukabiliana na mabadiliko ya Tabia Nchi. Mazungumzo hayo yamefanyika leo katika Ofisi ya Makamu wa Rais,Mtaa wa Luthuli, Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira Dk. Terezya Huvisa (kulia) akizungumza na Waziri Gregory Barker kutoka Idara ya Nishati na Mabadiliko ya Tabia nchi – Uingereza, kushoto ni Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi. Diane Loise Corner. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top