Waziri wa Viwanda ,Biahara na Masoko
Dkt. Abdallah Kigoda akizindua tawi jipya la Benki ya Stanbic Kariakoo ambalo
linakuwa la pili katika eneo hilo la Kariakoo sokoni jijini Dar es Salaam,
mpaka sasa Stanbic inajumla ya matawi kumi na moja kwa nchi nzima .katikati ni
Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa benki hiyo Abdallah Singano(kushoto)Mkurugenzi wa
Kitengo cha Biashara wa benki ya Stanbic Douglas Kamwendo
Loading...
Post a Comment