Mhe. William Mgimwa Waziri wa Fedha akichangia mada
juu ya jinsi gani waafrika wanaweza kujikomboa kwa kupitia Benki ya Maendelea ya
Afrika katika hafla ya chakula cha jioni Jijini Tokyo-
Japan
Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Donald
Kaberuka akifurahia jambo na Waziri wa Fedha Dkt.
William Mgimwa walipomaliza hafla ya chakula cha jioni Jijini Tokyo-
Japan.
Waziri wa Fedha akiwa na rais wa Benki ya Maendeleo ya
Afrika Donald Kaberuka katika kikao cha faragha jijini Tokyo
–Japan.
Donald Kaberuka Rais wa
Benki ya Maendeleo ya Afrika akimsikiliza kwa makini waziri wa Fedha Dkt.
William Mgimwa wakati wa chakula cha Jioni Jijini Tokyo –
Japan
Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa akiwa na Waziri wa
Fedha wa Uganda Bi. Maria Kiwanuka wakibadilishana mawazo katika chakula cha
jioni kilichoandaliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB Jijini Tokyo –
Japan.
Wajumbe wa Mkutano huo wakiwa katika chakula cha
jioni, wa mwanzo kabisa ni Gavana wa Benki kuu Malawi akiwa na Katibu Mkuu wa
Wizara ya Fedha ya Malawi.Picha na Habari zimeletwa na ingiahedi
mduma-Wizara ya Fedha
Post a Comment