Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

ZIARA YA RAIS KIKWETE CANADA YAZAA MATUNDA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (wa pili mbele kushoto) na Balozi wa Tanzania nchini Canada Mhe Alex Massinda (mbele kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa makampuni ya Canada baada ya mazungumzo katika jengo la Rideau Hall jijini Ottawa
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Waziri Mkuu wa Canada Mhe Stephen Harper wakishudia uwekaji sahihi mkataba wa ushirikiano kati ya Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania Mhe. Bernard Membe na Waziri wa Canada katika Bunge la seneti la nchi hiyo Alhamisi Oktoba 4, 2012(picha na Ikulu)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top