Jumapili hii ndani ya New Maisha Club kutakuwa na BaabKubwa Reloaded Party kwa ajili
ya kuzindua muonekano mpya wa BaabKubwa
Magazine na kutimiza miaka 8 tangu kuanzishwa.
Kutakuwa na show kali kutoka kwa Wasanii BOB JUNIOR, MR BLUE, RICH MAVOKO
huku wakisindikizwa na DAYNA, WATANASHATI,
BAGHDAD, WARWILL na wengine wengi.
Pia kutakuwa na Countdown Cover kumi {10} bora
za BaabKubwa Magazine tangu kuanzishwa kwake utaweza kuziona live siku
hiyo.
Uzinduzi wa Magazine mpya na Orijino Komedi.
Bila kusahau show itakuwa hosted by ADAM MCHOMVU “Baba
Jonii” from XXL ya Clouds fm.
Zaidi kutakuwa na Red Carpet kwa ajili ya Masuper Star
wa Bongo Movies na Bongo Flavour ambayo itaanza mapema
mida ya saa 5 usiku ikifuatiwa na show kali toka kwa wasanii mapema kuliko show
zote zilizowahi kufanyika ndani ya New Maisha Club.
NOTE: Entrance Tsh 10,000/= na
ukiingia utapewa na BaabKubwa
Magazine mpya {Issue 72}
bureee…..Itakayotoka siku huo. Usikoseeeeeeeee
Post a Comment