Mjumbe wa Baraza la
Katiba la Zanzibar ,kutoka ZLS Abdalla Juma akizungumza na Waandishi wa Habari
hawapo pichani kuhusu kuanza kwa mchakato wa Pili wa Utoaji wa Elimu ya Katiba
kwa Wananchi wa Zanzibar utakao anza kesho katika Ukumbi wa Salama Holl Bwawani
Mjini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Program za
Baraza la Katiba Zanzibar Prof,Abdull Sharif akiwaonesha Waandishi wa Habari
Vitabu vya Katiba vilivyoandikwa kwa njia nyepesi ilikufahamu Wananchi wakati wa
kuanza kwa mchakato wa Pili wa Utoaji wa Elimu ya Katiba kwa Wananchi wa
Zanzibar hapo kesho katika Ukumbi wa Salama Holl Bwawani Mjini
Zanzibar.
Post a Comment