Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BEN POL KUFANYA COLLABO NA WALTER WA EBSS 2012

 


Msanii ambaye anatamba kwenye anga za RnB in Tzee Music Industry Benard Paul alias Ben Pol ambaye mpaka sasa ameshatoa hits kama “Nikikupata“, “Samboira“,” Number 1 fan” na sasa “Pete” huku akiwa ameshajinyakulia tuzo mbili mfufulizo za single bora za RnB kupitia tuzo za Kiliamanjaro Tanzania Music Awards {KTMA}.

Latest infoz kutoka kwa msanii huyu ni kwamba baada ya mshiriki wa Epiq Bongo Star Search 2012 kwa jina la Walter Chilambo kuperfom vizuri ngoma yake ambayo inafahamika kwa jina la “Nikikupata” kwenye fainali za shindano ilo mpaka Ben Pol alipoamua kwenda kumpa salute stejini.
Akichonga na BK Cop, Ben Pol alisema kutokana na uwezo ambao Walter Chilambo ameuonyesha hivyo atanatarijia kufanya naye collabo katika ngoma zake zinazofuata.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top