
Mwaka uliopita mwanamuziki mrembo na maafu duniani Beyonce
Knowls, alifunguka katika kituo kimoja cha luninga huko Marekani na kudai kuwa
alikuwa bikra wakati anakutana na mume wake wa sasa "JAY- Z.
Japokuwa Beyonce hakuwahi kuzungumzia maswala ya ubikra
kama ilivyo kwa wasanii wengine wa muziki wa pop, lakini alikuja kuamini kuwa
swala hilo lilikuwa ni muhimu kwake.
Katika mahojiano hayo na Hollyscoop, Beyonce alifunguka
kuwa "nilikuwa bikra wakati nakutana na Jay-Z, lakini alipobanwa maswali
alikubali kuwa alikuwa na boyfriend mmoja kabla ya Jay-Z, lakini alidai hakuna
kitu chochote kilichofanyika.
“[W]e didn’t live
together, we didn’t, you know…” Beyonce says about the only other experience she
has had with a guy. She then reveals that Jay-Z was the next boyfriend after
that guy.
Beyonce na Jay-Z walifunga ndoa mwaka 2008 na kuanzia hapo
Beyonce alianza kukumbana na skendo za kuwa mjamzito kila baada ya miezi 6 baada
ya kusema I DO.
Unafikiri kuwa
Beyonce ni role model mzuri?
Post a Comment