Mwenyekiti wa umoja wa wafanyabiashara wa bodaboda mjini Singida,Irunde Mwangu (wa kwanza kulia) akisikiliza kwa makini ushauri uliokuwa unatolewa na askari polisi juu ya wao kusitisha kufanya mgomo kugomea ulipaji wa leseni na ushuru wa SUMATRA.
Baadhi ya madereva wa bodaboda wa Singida mjini wakiwa kwenye viwanja vya Peoples Club kwa lengo la kufanya mgomo wa kugomea ushuru wa SUMATRA na ada ya leseni.
Pikipiki za wafanyabiashara wa bodaboda na bajaj wa manispaa ya Singida.
(Picha zote na Nathaniel Limu).
Post a Comment