Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

CHAMA CHA CCM WILAYA YA NYAMAGANA CHATOA TAMKO KUHUSU VURUGU ZA MACHINGA JIJINI MWANZA.


Katibu wa Itikadi na Uenezi Mustapha Banigwa a.k.a Nyayo.

Chama cha CCM Wilaya ya Nyamagana leo kimeota tamko kuhusu vurugu za machinga ambazo zilitokea jijini Mwanza na kusababisha kifo cha Mtu Mmoja. Akizungumza na waandishi wa habari katibu wa Itikadi na Uenezi Bwana Mustapha Banigwa amesema chama kinalaani Maauaji hao ambayo si halali na Kupinga maauji ya raia kutoka kwa Polisi.

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top