|
Rais
wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodegar Tenga akizungumza katika hafla ya
chakula cha usiku kwa ajili ya kuichangia timu ya taifa ya vijana chini ya umri
wa miaka 17, Serengeti Boys usiku huu kwenye hoteli ya JB Belmonte, Dar es
Salaam. Serengeti inatarajiwa kumenyana na Kongo Brazzaville Jumapili, kuwania
tiketi ya kucheza Fainali za Afrika mwakani nchini
Morocco. |
|
Katibu wa TFF, Angetile Osiah akizungumza katika hafla
ya chakula cha usiku kwa ajili ya kuichangia timu ya taifa ya vijana chini ya
umri wa miaka 17, Serengeti Boys usiku huu kwenye hoteli ya JB Belmonte, Dar es
Salaam. |
|
Wachezaji
na wadau |
|
Kutoka
kulia Kocha Mkuu wa Serengeti Jacob Michelsen, Msaidizi wake, Jamhuri Kihwelo na
Kamishna Msaidizi wa Polisi, Jamal
Rwambow |
|
Nassor
bin Slum akizungumza na mchezaji Hussein
Twaha |
|
Kutoka
kulia Abdallah Bin Kleb, Tenga, Bin Slum na Jaffar Iddi
Maganga |
|
Kaimu
Mwenyekiti wa Kamati ya Serengeti Boys, Kassim Dewji akizungumza kwenye hafla
hiyo. Kushoto ni Tenga |
|
Angetile
na wachezaji |
|
Wadau |
|
Mwenyekiti
wa Kamati ya Vijana, Ahmad 'Msafiri' Mgoyi akiwa na mdau Seyoung Jeong kutoka
Korea |
|
Salim
Abdallah kulia akiwa na Bin Kleb na Beda
Msimbe |
|
Bin
Slum |
|
Kushoto
ni Nicky akiwa na Soyoung |
|
Salim
akizungumza na CEO wa JB Belmonte, Justus Buguma
kushoto |
|
Mwenyekiti
wa Azam FC, Said Mohamed akizungumza kuwapa morali
vijana |
|
Mzee
Said akisikiliza kwa makini maneno ya
vijana |
|
Hussein
Twaha akihutubia. hotuba yake ilisisimua sana. Kulia ni Nahodha, Miraj
Adam |
|
Mohamed
Hussein kushoto akiwa na Farid
Mussa |
|
Bin
Kleb na Salim |
|
Julio
na Michelsen |
|
Hussein
Twaha kulia na Peter Manyika |
|
Julio
alitoa hotuba iliyosisimua pia |
|
Evans
Aveva kulia na Said Tuliy kushoto |
on Saturday, November 17, 2012
Post a Comment