*YAWANUNULIA TIKETI ZA KUANGALIA MECHI YA SERENGETI BOYS NA KONGO KESHO
|
Mwenyekiti
wa Kamati ya Mashindano ya Yanga SC, Abdallah Ahmad Bin Kleb amewafariji
wanachama wa Simba wa tawi Mpira Pesa waliofutiwa uanachama kwa kuwanunulia
tiketi za kwenda kuangalia mechi ya kesho ya Serengeti Boys na Kongo
Brazzaville, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Pichani Bin Kleb akipokea tiketi
hizo baada ya kuzilipia.
|
on Saturday, November 17, 2012
Post a Comment