Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

DK SHEIN APOKEWA KWA SHANGWE MJINI ZANZIBAR JANA

 


Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akiwapungia Mkono wananchi na wanachama wa CCM waliojitokeza katika mapokezi yake katika mji wa Zanzibar mtaa wa Michenzani,akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa Nane,ulimuwezesha kushika nafasi hiyo, kutokana na uchaguzi,uliofanywa wa kuwachagua Viongozi wa CCM kwa kipindi cha miaka mitano,katika ukumbi wa Kizota,Mkoani Dodoma.

Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akiwapungia Mkono wananchi na wanachama wa CCM waliojitokeza katika mapokezi yake katika mji wa Zanzibar mtaa wa Michenzani,akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa Nane,ulimuwezesha kushika nafasi hiyo, kutokana na uchaguzi,uliofanywa wa kuwachagua Viongozi wa CCM kwa kipindi cha miaka mitano,katika ukumbi wa Kizota,Mkoani Dodoma.

Maandamano ya Pikipiki kama yanavyoonekana pichani wakiongoza msafara wa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa Nane,ulimuwezesha kushika nafasi hiyo katika uchaguzi,wa kuwachagua Viongozi wa CCM kwa kipindi cha miaka mitano,katika ukumbi wa Kizota,Mkoani Dodoma

Makamo wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akivalishwa shada la mauwa na mtoto Salama Issa Ali, alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akitokea Mkoani Dodoma,kulikofanyika Mkutano Mkuu wa chama hicho uliomuwezesha kushika nafasi hiyo,baada ya kushinda uchaguzi kwa kishindo.

Makamo wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi na wanachama wa CCM, alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,nje ya Mji wa Zanzibar akitokea Mkoani Dodoma,katika Mkutano Mkuu wa nane wa Chama hicho uliomuwezesha kushika nafasi hiyo,baada ya kushinda uchaguzi kwa kishindo.

Makamo wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mkewe mamam Mwanamwema Shein wakisalimiana na Viongozi na wanachama wa CCM, walipowasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Abeid Amani Karume,nje ya Mji wa Zanzibar wakitokea Mkoani
Dodoma,katika Mkutano Mkuu wa nane wa Chama hicho uliomuwezesha DK.Shein,kushika nafasi hiyo,baada ya kushinda uchaguzi Mkuu ulimalizika hivi karibuni.Picha na Ramadhan Othman Ikulu.

Makamu Mwenyekiti wa CCM, Dk. Syheni akivishwa shada la maua

Dk. Shein akiwasalimia wanaCCM na wananchi kwa jumla katika ma[pokezi hayo

Kijana wa CCM akimpigia saluti ya heshima makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk. Shein

Dk. Shein akiwasalimia wana-CCM na wananchi kwa jumla waliohudhuria mapokezi hayo mjini Zanzibar

Msafara wa mapokezi ukiongozwa kwa pikipiki

Wana-CCM wakiawa katika matembezi maalum ya mapoakezi hayo

Dk. Shein, Vuai Ali Vuai na Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Seif Ali Iddi wakiomba dua kwenye kaburi la Muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar, Amani Abeid Karume, Afisi Kuu ya CCM, Kisiwandui mjini Zanzibar


Makamu Mwenyekiti wa CCM, Zanzibar, Dk. Shein akizungumza na wafanyakazi wa CCM, Afisi Kuu ya CCM, Kisiwandui mjini Zanzibar. (PICHA KWA HISANI YA CCM-ZANZIBAR)


Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top