Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akitia saini kitabu cha
wageni baada ya mazungumzo na Uongozi wa taasisi ya Sayansi ya Kilimo, akiwa
pamoja na Ujumbe aliofuatananao,(kushoto) Mama Mwanamwema Shein.[Picha na
ramadhan Othman, Vietnam]
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,(kushoto) Mama
Mwanamwema Shein, Waziri wa Kazi, uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika
Haroun Ali Suleiman pamoja na maofisa aliofuatananao wakisikiliza
taariakisalimiana na Viongozi katika Taasisi ya Kimataifa ya Sayansi ya Wanyama
nje ya Mji wa Vietnam, akiwa katika ziara ya rasmi ya Kiserikali na ujumbe wake
katika kukuza uhusiano na Mashirikiano.[Picha na Ramadhan Othman,
Vietnam]
Baadhi ya maofisa walio
katika ujumbe wa ziara ya Rais wa Zanzib ar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Ali Mohamed Shein nchini Vietnam wakisikiliza kwa makini taarifa za tafiti
mbali mbali za kilimo zilizofanywa na Chuo cha Taasisi ya utafiti wa kilimo
nchini Vietnam,(Vietnam Academy of Agricultural Sciennces (VAAS) zilizotolewa na
Dk. Nguyen Van Tuat Msaidizi wa Rais wa Taasisi ya Sayansi ya Kilimo nchini
Vietnam, [Picha na Ramadhan Othman, Vietnam]
on Sunday, November 25, 2012
Post a Comment