Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

KILIMANJARO STARS YAIBANJUA SUDAN 2-0



Kilimanjaro Stars imeyaanza kwa kishindo mashindano ya CECAFA Senior Challenge baada ya kuwachapa Mamba wa Nile, Sudan kwa mabao mawili kwa bila. Alikuwa ni mshambuliaji John Bocco Adebayor aliefunga mabao yote m
awili baada ya kazi nzuri ya Mrisho Ngassa. Kwa matokeo hayo Stars sasa inashikilia nafasi ya pili kwenye kundi B huku Burundi ikiongoza kwa tofauti ya magoli baada ya kuichapa Somalia 5-1 katika mchezo wa kwanza

Tanzania Bara; Juma Kaseja, Erasto Nyoni, Amir Maftah, Shomari Kapombe, Kevin Yondan, Frank Domayo, Salum Abubakar/Amri Kiemba, John Bocco, Mwinyi Kazimoto na Simon Msuva/Shaaban Nditi.
Sudan; Ebd Elrahman Ali, Moawia El Amin, Sami Abdallah, Faris Abdallah, Hamoda Bashir/Farid Mohamed, Mohamed El Mortada, Sadam Abutalib, Mohamed Mussa Idris, Modathir Mohamed, Adam Sayer/Osama El Rashid na Mohamed Osman/Saed Siddig.

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top